FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Kwahiyo tumeshakubaliana Simba hatutafuti ushindi tunatafuta droo si ndo hivyo[emoji23]
 
Aahh.. Katoka ngoma kaingia kibu.
Huyu kocha baada ya hii game tu aporwe timu, haijalishi matokeo tutakayopata.

Maana sihesabii hata tukishinda, watot wameamua kukaba kulinda goli, ila wakiamua kuja wanaweza kupata goli jingine.
Kibu gani Mzee..... Mtachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom