Tulieni mna mechi 2 mtadroo moja mtapigwa...Kwahiyo siku hizi mpaka droo munaivalia kibwebwe!
Chamsingi, mushachezea kichapo na tuko mbele yenu kwa idadi ya point 7, hivyo TFF watupe tu kombe letu.
Kwa hiyo kwa tafsiri yako timu nzuri ni ile ambayo inashinda kila mechi si ndio?Simba hakuna timu pale,Wakikutana na Yanga kwa mpira huu watakula hata kumi
Simba mpaka uchawi
Muue Prison kwasababu lazima afe.
Atake asitake.
π€£π€£π€£ Kwahiyo imefyekwa???Nilisema tangu jana simba akishindwa nikatwe dhakari π
Inter Miami kabla ya Messi
Aah aah aah lamamayeeeπ€£π€£π€£π€£Nasikia yule Fredy alikuwa anauza sukari Zambia
Mifano miwili isiyofanana.Inter Miami kabla ya Messi
View attachment 2926531
Inter Miami baada ya Messi
View attachment 2926530
Lakini unaweza kujiuliza kwanini pamoja na kwamba anapoteza mechi na kushindwa kuisadia timu yake dhidi ya timu ndogo bado anaendelea kuhesabika kama mchezaji bora?
Ukijibu hilo swali utakuwa umethibitisha kwanini Manara hapaswi kuomba radhi kwa ile kauli yake
Umeshakua mtabiri sasa.Tulieni mna mechi 2 mtadroo moja mtapigwa...
Mifano miwili isiyofanana.
Hiyo inter miami yenyewe mchezaji clinical ukimtoa messi hawa wanne hawafiki,pia messi ni mtu wa rekodi za juu hiyo inter miami keshaipa kombe mara tu alipoingia.
Tafuta mfano mwingine aisee usimtukanishe MESSI.
Kumbe niliweka w katikati ya d na a ππ€£π€£π€£ Kwahiyo imefyekwa???
Hahahaaa. Lol.Weeee apiaaa
Chama ni mfungaji bora kibabu anaye tambuliwa na mashabiki wa simbaKatika wafungaji bora wa muda wote CAF Chama yupo, utasema hizo sio takwimu za kumfanya awe na rekodi za juu?
Kwani Chama hajawahi kuipa kombe Simba?
Sema we jamaa una roho ngumu, umeanza na tambooo "prisons wajiandae", mkapigwa kimoko ooh "tutapata tatu", mkaongezwa "sasa ndo wametuchokoza"....mmekandwa ila bado upo hapaπΉπΉπΉ upo vizuriNa hapo ndipo shobo zao zita balance