Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Majaruba tena duuhmajaruba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaruba tena duuhmajaruba
Bado hujasemaSisi Simba ni wapumbavu sana.
Yaani furaha yote ya kuwadungua Jwaneng Galaxy imemalizwa na kipigo cha leo kutoka kwa Prison!
Utopolo wataongea mpaka basi.
Ila imeuma Simba kufungwaMuhimu imetoa over 2.5
Prison wajiandae kisaikolojia
Utopolo ni bahati yenu tu, ile mechi na Prisons mlibebwa sana
Pole [emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Full time
Am so saaad tumedondosha point tatu muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mashujaa anawasubiria kwa hamuView attachment 2926266
TUWASUBIRI COSTAL TU HAWA WAFUNGWA HATUWAWEZI.
😂😂😂 'Numbisa' tulia tupo msibani cheka kwa nukta😂😂😂😂😂nimechekeshwa huko mtaani nimejikaza nikaja kuchekea humu msibani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani ee tunasafirisha au tunasubiria masimango ya MO
Ubao uko sahihi kabisa Mkuu.Simba kafungwa au wamekosea kuandika huo ubao?
Kumbe huyu fyetu yukogoGENTAMYCINE aliwaonya
Prison kafanya yakeDooh ila Prisons na Ihefu ni vitendawili visivyotegulika kwenye hii Nchi yani [emoji1787][emoji1787]
Matokeo nimeyapokea mkuu[emoji56][emoji56]Hata mi naona
Kabisa Mtani na wakishakuwahi tuu inabidi uanze kuandika maumivu mapema.Dooh ila Prisons na Ihefu ni vitendawili visivyotegulika kwenye hii Nchi yani [emoji1787][emoji1787]
Ukisha maliza kumzika ukirudi home utamkuta anakusubiri na swali hili,, "umezika nini sasa wakati nipo hapa?😂😂😂😂😂nimechekeshwa huko mtaani nimejikaza nikaja kuchekea humu msibani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani ee tunasafirisha au tunasubiria masimango ya MO
Hahahaa ihefuuPrison kafanya yake
Simba umesuguliwa unyounyoo😅sumu tena?
Acheni maneno ya Uwongo