FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Mtaani kuna watu wanajitakia vilema visivyo na ulazima

Unakuta shabiki wa Uto anakusumbua kelele nyingiii bughdha kibao unakosa hadi raha

Ukimcheki mdomoni tayari ana pengo (clean sheet haipo) na mtaani wanamuita pengo.

Mtu kama huyu anaweza kuipa serikali sababu ya kuingia upya bungeni kutunga ibara nyingine ya sheria kwa ajili ya kuwalinda watu wa Yanga.
 

Umeongea ukweli mtupu. Nilisema hii mechi sitaiangalia na lazma tufungwe.
 
[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
 

Inonga alipaswa apewe red card kwa kumchezea rafu mtu wa mwisho

Kapombe nae alimshika mtu mguu kwenye box ila refa akambeba kipindi cha kwanza.
 
Ila Manula ana kiherehere chakumfata Azizi key!!, Mtu ana miezi Kama 5 hajacheza na anajua anaenda kukutana na mwwmba key kwann hakukata? Ila nasikia ni maagizo kutoka kwa viongozi. Asanteni viongozi kumleta key BBY wake!.
Waliompanga kucheza ndo wapumbavu
 
Yani Simba ibadilike,waamue kupambana sana sana ili wachukue ubigwa.vinginevyo watapoteza mashabiki na kupoteza mapato sanaaa
 
Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…