Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then!🖐️💛💪!
Then!🖐️💛💪!
Tuna viongozi wapuuzi sana kocha kapangiwa kumuanzisha Manula.
Aaah,ni hatariBahari imetulia Ila kuna watu macho yamevimba mda HUU wanalia balaa
Yani Simba ibadilike,waamue kupambana sana sana ili wachukue ubigwa.vinginevyo watapoteza mashabiki na kupoteza mapato sanaaa
Nawashangaa,Yani unakuta mtu ana niqoute anataka niendike akipendacho ili awe mtani wangu...sasa mimi nimekuja kubembeleza wa kutaniana nae?? Hahahah watuache bwana
Hata game plan yake haikuwa nzuri kwa hii mechi.Tuna viongozi wapuuzi sana kocha kapangiwa kumuanzisha Manula.
Watu wanalia clip zinasambaa hamzioni huko kwani watu wanalia kwenye mitaro clip zinatembea kwa kasi sanaWatu wamezimia sana
Nawashangaa,Yani unakuta mtu ana niqoute anataka niendike akipendacho ili awe mtani wangu...sasa mimi nimekuja kubembeleza wa kutaniana nae?? Hahahah watuache bwana
Wabovuuuuuuuuuuuuu 💛🤸!1. Yanga 5 - 0 Djibout
Djibout wabovu.
2.Yanga 5 - 0 KMC
KMC mbovu
3. Yanga 5 - 0 JKT
JKT mbovu
4. Yanga 5 - 1 Simba
Simba ni.....🤪
Usipoangalia itakuua kweliDj piga wimbo wa ...Naipenda Simba mshabiki wa damuuuu....
Mpaka iniueeee
Kuna dada analia vibaya sana km kafiwa yaan duuuh 😆😆😆Hata game plan yake haikuwa nzuri kwa hii mechi.
Muhimu tujipange tuchukue ubingwa wa ligi huu msimu angalau tutazima hizi kashfa.
Bora hata ninyi wenyewe mmeona kwamba mmetufunga sababu ya Manula, angekuwa Katoro pale saa hii tungekuwa tunaongea lugha tofauti, anyway Hongereni watani tukutane CAFCL kuleKivumbiiiii
Mnaforce Manula aadake eeh
Pazia lile[emoji23]
Aibu ya nini mama?. Ulitegemea vile mlivyo mdebwedo vile kuifunga YANGA? Kasemeleeni kwa IhefuNimeonajee aibuu mimiii [emoji23][emoji851][emoji851][emoji851]!
Watu wanalia vibaya huku majumbani hakulaliki kabisa 😆😆😆 sio wanaume sio wanawake wote wanaombolezawakawasimulie wake zao majumbani.