Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Sisi itakuwa tumepigwa kipapai si bure 🙇🏿Pole sana. Huku nilipo ni full shangwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi itakuwa tumepigwa kipapai si bure 🙇🏿Pole sana. Huku nilipo ni full shangwe
Hongera kwa mashabikiHayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.
Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.
Kaa nami katika uzi huu upate kushuhudia matukio mbalimbali
Timu zinaingia uwanjani, mchezo utaanza muda wowote kuanzia sasa
Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa
2' Timu zinasomana, pasi za hapa na pale
3' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Kennedy Musonda anaifungia Yanga goli kwa kichwa huru, akiwa katikati ya walinzi wa Simba
7’ Dickson Job anapata kadi ya njano kwa kumchezea faulo Saido
8’ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Kibu Denis anafunga goli kwa kichwa akimalizia mpira wa kona iliyopigwa na Saido
13' Timu zote zinaonekana kuwa na presha ndani na nje ya uwanja
22’ Fabrice Ngoma anapata kadi ya njano kwa kumchezea faulo Azizi Ki
30’ Yanga wanamiliki pira muda mwingi
40’ Simba wanaonesha uhai na kujipanga
43’ Shambulizi kali langoni kwa Yanga, mpira wa Kapombe aliopiga kapombe unaokolewa
45' Simba wanafanya shambulizi lingine kali lakini Yanga wanaokoa
MAPUMZIKO
View attachment 2804965
Kipindi cha pili kimeanza
57’ Kipa wa Yanga anamchezea faulo Kibu Denis
59’ Kibu anashindwa kurejea uwanjani, nafasi yake inachuliwa na Luis
64’ GOOOOOOOOOOOOOOOOO
Maxi Nzengeli anafunga goli la pili kwa Yanga, akipiga shuti kali
Baleke anatoka anaingia Moses Phiri
72’ Musonda ametoka ameingia Clement Mzize
73’ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Azizi Ki anafunga goli la tatu kwa Yanga, ikiwa ni goli lake la 7 katika Ligi Kuu 2023/24
77' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Max anafunga goli la nne kwa Yanga
87' Penati, Yanga wanapata
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Pacome Zouzoua anafunga kwa kumchambua Manula
90' Zinaongezwa dakika 3
FULL TIME
😀😀Dada tusameheHakii yanga imejua kunikoshaaaaaaa!💛💚💛💚💛😘😘
Kesho nayo ni siku
🖐️!
Kocha makini akija kwa quality ya wachezaji wa Simba hawezi kusumbuka kabisa, ni kuingiza mfumo wake timu inatembea, kocha uyu kapandisha kiwango cha mchezaji mmja tu ambae ni kibu, ila kocha mzuri hupandisha viwango vya wachezaji kocha wetu kafeli pakubwa sanafukuzeni japo kuna athari kubwa mkifanya hivyo
Basi fukuzeni mlete kocha bora zaidiKocha makini akija kwa quality ya wachezaji wa Simba hawezi kusumbuka kabisa, ni kuingiza mfumo wake timu inatembea, kocha uyu kapandisha kiwango cha mchezaji mmja tu ambae ni kibu, ila kocha mzuri hupandisha viwango vya wachezaji kocha wetu kafeli pakubwa sana
Ogopa Matapeli Ndugu yangu, hujiulizi kabla ya ufunguzi wa mechi Makolokolo SC vs Al Ahly Tajiri alikutana na Rais wa FIFA, unajua walichoongea kuhusu michuano hiyo?Hivi huyu ndiye aliyecheza na al ahly [emoji23][emoji23][emoji23]
PIGAAAAAAAA.......KUNA KUFUNGWA NA KUGARAGAZWAAAA
Taja kisago kitakatifu au kifo chochote kilichowahi kutokuwa na sababu (chanzo) [emoji2960]Hii pia ni sababu ila haiwezi kufuta hii aibu, tutafute nyingi nzito.
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............................[emoji28]Naishukuru timu yangu simba tumekufa kiume