Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,124
- 2,369
Uwe unakula dinner kabsa before match braza.Yaani simba atoe droo na al ahly halafu aje afungwe na yanga?
Hii najua ilikuwa njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unakula dinner kabsa before match braza.Yaani simba atoe droo na al ahly halafu aje afungwe na yanga?
Akikujibu nambieBraza uwe unakula kabla ya match
Hahahahaha!!Braza uwe unakula kabla ya match
Sawa, yule mzee sasa tufukuze, ana tutapeliMsianze kumlaumu kocha wenu kuwa alikuwa anapoteza muda kutazama mechi za Simba na kuacha kuisuka timu yenu.
Poa kakaAkikujibu nambie
Kalipize hizo goli tano leo usiku..😂😂😂Hakuna watu wa maana na msaada kwetu wanasimba leo kama wenza wetu (kwa wana ndoa tu)!! Tusahaulisheni hayo masaibu!!. Kama mwenza akiwa ni uto basi achekee tumboni tu bila kuonesha usoni!!!
Hiyo mtajuana wenyewe,Tuombee Dua njema, ili tusherehekee na kuruka ruka bila kupata madhara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama ni kurogwa sio kiasi hiki wakuu....
Hiki kipondo sio poa kabisa...[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga hata wamuweke golini Mwijaku bado ana nafasi kubwa ya kushinda hii mechi.
Ila mtani sisi sio maadui bhana. Mimi mbona nawanenea mazuri?Hiyo mtajuana wenyewe,
Nguvumoja[emoji419]
Ndo matokeo hayoPolee kiongozi
Wala tatizo si kocha tatizo ni wachezajiMgunda asingefungwa hivi