FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Hakuna watu wa maana na msaada kwetu wanasimba leo kama wenza wetu (kwa wana ndoa tu)!! Tusahaulisheni hayo masaibu!!. Kama mwenza akiwa ni uto basi achekee tumboni tu bila kuonesha usoni!!!
Kalipize hizo goli tano leo usiku..😂😂😂
 
Defensive transitions refer specifically to the moment after a team loses the ball, when they are switching to their defensive shape.
=============
adui wa simba alikuwa huyu, goli takribani tatu zimetokanwa na kupoteza kwao mpira
 
IMG-20231105-WA0088.jpg
 
Back
Top Bottom