FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kila timu unayoshangilia unatia gundu
 
Utopolo wana mwezi mzima wa kutamba na kutubeza humu jamvini.

Ila haina noma, ndio hivyo ishatokea, tutavumilia tu.
Dawa ni kupotea tu, mi ni Shabiki kindakindaki la Chelsea SC ila tangu August 2023 nione klabu yangu haieleweki sijawahi kutimba kwenye uzi wa Chelsea SC kwa zaidi ya miezi mitatu iliyopita [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
B... unashindwa kuniachia hii siku moja kweli? Hii moja tu nifurahi leo.
Mbona zile za Ahly tulilia wote? Vibaya hivyo b...
 
Kwani wachezaji ndo wameamua kumchezesha Manula asiye na match fitness hasa umakini katika kuwapanga vizuri mabeki! Manula hakuiwa akiwapanga vizuri mabeki, haikuwa sahihi kumpanga kwenye mechi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…