FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Baada ya match.

Mwandishi: Ah, coach, how was the game?

Robertinho: "We buildly good team, good technique, I'm very very happy with my players, we played very well and this is very important. Thank you"
Hapo baada ya match ubao unasoma

Yanga 2-0 Simba
FT

Objective objective nyingiiii ngoja tukuwekee na subjective
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.

Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.

Kaa nami katika uzi huu upate kushuhudia matukio mbalimbali
Mbona kimya mzee

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Raha ya vibanda umiza.

Timu yako ishagongwa, halafu inapigiwa mpira mwingi. Yaani timu yako ishafungwa na inazubaishwa sana. Mara mchezaji wa timu yako anafanya faulo katikati ya uwanja, refa anapuliza kipenga.

MARA GHAFLA, mule ndani banda umiza anasimama mtu mmoja kwa sauti kubwa

"PENAAAAAALT🗣️🗣️🗣️

😂😂😂
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.

Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.

Kaa nami katika uzi huu upate kushuhudia matukio mbalimbali
Saa ngapi?
 
GAMONDI is a professional coach, ameenda uwanjani kuangalia Makolokwinyo wakicheza unategemea Nini?

Leo ni kichapo tu Cha mbwa Koko! Yanga 3 - Kolowizard Mbumbumbu Simba fc 0! Hiyo imeeeeeeeenda!

Hatutaki lawama za refa Simba itakufa kiume Tena Leo kama kawa, mkandaji mkubwa wa kwanza ni Feitoto Kwa bao lake la uchungu kule CCM Kirumba lililowalaza Simba na viatu huyo Kibu alibahatisha tu Yanga ikiwa haiko mchezoni na Leo atakutana na Ibra Bacca ambae mechi Ile hakucheza tutaona jinsi Kibu D atarukaruka tu uwanjani kama maharage!

Yanga ni baba wa boli Tz Kwa Sasa namuona Max Nzengeli akifungua booster zaidi leo, makolo watakoma!

Aziz Ki ana goli mbili za faulo! Leo kama sio Yanga 5 - Simba 0 sijui labda refa akatae magoli kama kule Mkwakwani na Leo hatukubali ujinga wa marefa kuibeba Simba!
Kumbe yanga mpaka Sasa wanajiona no Bora kuliko Simba, inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom