FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Tuna timu ya kawaida sana timu kuanzia kwenye namba sita kurudi nyuma wote ni wabovu nashindwa kuelewa kwanin ngoma anacheza kweny base ya chini wakati hawez kabisa kukaba kapombe shughuli yake imeisha
Na kocha nae ni tatuzo mkuu! Timu mbovu sana.. timu bora hairuhusu magoli kila mechi.. hata Al ahly walikosa nafasi nyingi za wazi lakini tungetafutana!
 
Huyu bwana ni mtu haswa,ni kama alitabiri na akatoa vikosi viwili apa vya Simba na sikumuona manula
 
Back
Top Bottom