FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!

Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
Mfa maji
 
IMG-20231105-WA0043.jpg
 
Relax mkuu, ndio mpira huo.

Tujipange turekebishe makosa.

Mkuu sijui niseme nini aiseee usajili wa dirisha dogo kama simba watasili kwa mafungu wallahi i’m out sitoishabikia simba tena
 
Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!

Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
Yeah! hii comment yako angalau italeta matumaini kwenye mioyo ya wanasimba iliyoinama.
 
Back
Top Bottom