Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mi mwenyewe nakupenda 😘😘😘Sisi ndiyo Yanga, hakuna cha 5 ubaoni tena. Tumeshazilipa tunataka ya sasa.
Wachezaji wa Yanga leo mmejua kunifurahisha, nawapenda halafu nawapenda tena...
Say 5 🖐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nakupenda 😘😘😘Sisi ndiyo Yanga, hakuna cha 5 ubaoni tena. Tumeshazilipa tunataka ya sasa.
Wachezaji wa Yanga leo mmejua kunifurahisha, nawapenda halafu nawapenda tena...
Say 5 🖐
Kolowizard[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2805026
Mfa majiMaskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!
Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
Endelea nakusikiliza 😁Aibuuuuuuuuuuuuu nimeona mimi
Yaanii.....Yanga yangu 💚💚💚💚💚 leo rahaa
Relax mkuu, ndio mpira huo.Kmlmmk robatinyo na uongozi mzima i’m out for this team[emoji706]
Relax mkuu, ndio mpira huo.
Tujipange turekebishe makosa.
Huyu hapa bosiNireeeteeeeni robertinhoo nireeeeeteeeeeeni robertinho nasema( In JPM's voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah! hii comment yako angalau italeta matumaini kwenye mioyo ya wanasimba iliyoinama.Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!
Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
Umesema vyema tugange yajayoTusikubali hili tukio lituvuruge,tujipange tena upya maana bado tuna mengi yanatusubiri huko mbeleni.
Ila kwa leo tumedhalilika sana tu.
Robertinho ni bonge la kiazi kila mechi anaruhusu bao , hafai hata kwa bure..
Mapeema saana, nikae huku natafuta nini!! Kwa hili balaa si bora nirudi kujipoza kidogo.. 😂Leo naomba uwahi kurudi nyumbani😂😂😂😂
Mwaka gani huo?Wana thiiiiiiiiimbaaaaaaaaaa
Uchungu ukizidi ukumbuke na ww ulishamfunga 6 kwa 0.....
Unakunywa maji unalala....