Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Shangilia lakini usiniguse [emoji35]Nikumbuke ushindi uliopatikana hata sijazaliwa? Ujinga mtupu!
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangilia lakini usiniguse [emoji35]Nikumbuke ushindi uliopatikana hata sijazaliwa? Ujinga mtupu!
Kwa kuwa furaha yako ni kipaumbele, nimekubali kuiacha yangu b...Hii ni derby, ina maumivu tofauti kabisa na ile. Sherehe ziishie tu hapa kwa kweli, ukizileta na kule ni kutafuta kupigwa tu.
Ova
Yani tutakaa hapa serious tunakumbushana mambo ya mwaka sitini kipindi Dar es salaam ni kijiji kidogo cha wavuvi kiitwacho Mzizima?? Let's talk about objective footy bhn!Wana thiiiiiiiiimbaaaaaaaaaa
Uchungu ukizidi ukumbuke na ww ulishamfunga 6 kwa 0.....
Unakunywa maji unalala....
[emoji119][emoji28]Bahati nzuri hatusafirishi, tunazika hapahapa. Tena usiku huu huu...
Kinyago tukichonge wenyewe, halafu kitutishe?
Yanga since 1935.
mbona hayo ya kizembe ninyi hamjafunga?Hujui mpira magoli ya kizembe mno yale.
Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!
Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwenye faulo na kona kuelekea yanga nashikaje matiti kuzuia magoli[emoji851][emoji851][emoji851]!
Kabisaa ni full ku enjoyy!!!Yana muda basiiii.....
Uzuri na mr nae Simba damu basi hapa tunasikiliz mziki wa Dimond YATAPITA.... repeated...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo nna maumivu, ila kwa comments za humu nimebaki kucheka km chiziii.Nilale sasa,
Kuna raia wanapeana gono kwa furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguvumoja[emoji419]
Miss Gf kakumiss Mwananchi, kila la heri Boss kwa Pisi Kali wetu Wananchi [emoji122][emoji23]Nireeeteeeeni robertinhoo nireeeeeteeeeeeni robertinho nasema( In JPM's voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16]Kwani wenyewe wajingaKampuni za kubet wapumbavu sana. Walimpa Yanga underdog nimechoma laki 3 kizembe. Dah! Kamari sio kitu kizuri.
Chifu we ni Mwananchi piwa nimethibitisha kwa DNA hapa sema tu umemzuga Kolowizards Kalpana [emoji851][emoji2960]
SIMBA semeni ukweli kati ya Ahly na YANGA nani zaidi?
Pole ya nini??
Simba damuni,
Mbona tupo ok[emoji16]
Kitu pekee ambacho Yanga na Mwamuzi walikifanya kwa ubora leo ni kuhakikisha Kibu anatoka mapema uwanjani. Jitihada zilikuwa nyingi kwa msaada wa mwamuzi.
B... hizi sherehe zenu uzimalize hapa, ukizileta kule nitakupiga. Mimi nina hasira ya kufungwa, tena hasira kweli. Nimesema mapema hapa mbele ya Utopolo wenzio.
Ova
Shangilia lakini usiniguseNawashangaa wanavyoumia wao[emoji23][emoji23],
Yanga sijawahigi waelewa[emoji16], maana wanatufosi tuumie kama wao