FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Nikumbuke ushindi uliopatikana hata sijazaliwa? Ujinga mtupu!
Shangilia lakini usiniguse [emoji35]
JamiiForums-751034406.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni derby, ina maumivu tofauti kabisa na ile. Sherehe ziishie tu hapa kwa kweli, ukizileta na kule ni kutafuta kupigwa tu.

Ova
Kwa kuwa furaha yako ni kipaumbele, nimekubali kuiacha yangu b...
Najua pa kushangilia.
 
Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!

Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
JamiiForums-1387865150.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kitu pekee ambacho Yanga na Mwamuzi walikifanya kwa ubora leo ni kuhakikisha Kibu anatoka mapema uwanjani. Jitihada zilikuwa nyingi kwa msaada wa mwamuzi.

B... hizi sherehe zenu uzimalize hapa, ukizileta kule nitakupiga. Mimi nina hasira ya kufungwa, tena hasira kweli. Nimesema mapema hapa mbele ya Utopolo wenzio.

Ova
JamiiForums-1769471325.jpg
JamiiForums-751034406.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom