FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Ghafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.

Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.

Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
 
Credit by spana konk
Kapombe akaona alale kama Rashidi baada ya Goli la Aziz Ki 🤣
20231106_101636.jpg
 
Ghafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.

Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.

Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
Ni Kilingala
Maana yake ni tabu ileile
 
Utakuwa una element za kishirikina wewe
 
Ghafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.

Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.

Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
5G
 
Hazikwi mtu...kama nyie hamkuzikwa mlipokandwa 6 huko nyuma basi hata sisi tutasavaivu....
🤣🤣🤣🤣 Safi kabisa ligi bado sana hapana kukata tamaa ila backline yenu sio kati wala pembeni kote kuna vuja tuu.
Alafu itakuwa yule mganga wenu wa mechi ya al ahly hamkumlipa
 
Ngoja niamke sasa
FB_IMG_1692991981931.jpg

Nakutana na backline ya thimba!!
255652452537_status_0089530374f64633a6de5e12248ece13.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1692991981931.jpg
    FB_IMG_1692991981931.jpg
    19.4 KB · Views: 3
Wapenda soka Tukutane hapa ku share picha za matukio ya derby kati ya mwananchi na Simba ( Makolo) Baada ya kula 5G

Share picha za matukio ya derby, japo Mimi ni Simba lkn tu refresh kidg
 
Back
Top Bottom