Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Hii nyunzi imevunja record kuchangiwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHii nyunzi imevunja record kuchangiwa sana
Ni KilingalaGhafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.
Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.
Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
Ahaa sawa sawaNi Kilingala
Maana yake ni tabu ileile
Utakuwa una element za kishirikina weweGhafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.
Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.
Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
Hii substitution iliongeza kitu sanaaaMusonda anatoka mzize anaingia
5GGhafla tu nchi nzima kila mwana Yanga ana shout au ku comment " Tabulelee laah" bila kujua maana yake nini.
Binafsi sijui maana yake ni nini ila ninaona imekaa kama vile maneno ya kishirikina ( incantantions) na kama mnavyo bus tena mpira wa miguu na ushirikina ni kama Chama na Mogellah.
Sasa nauliza wana jamvi. Tabulelee laaah maana yake hasa ni nini? Sio maneno ya kishirikina kweli?
Sio dubai kweli hawaHivi preseason walifanyia wapi kwel?
🤣🤣🤣🤣 Safi kabisa ligi bado sana hapana kukata tamaa ila backline yenu sio kati wala pembeni kote kuna vuja tuu.Hazikwi mtu...kama nyie hamkuzikwa mlipokandwa 6 huko nyuma basi hata sisi tutasavaivu....
Ni Uturuki ndio na ngada zao wanapitishiamo.Sio dubai kweli hawa
Yean na effect yake ilionekana zaidi alivokuwepo Musonda!Hii substitution iliongeza kitu sanaaa
Hata 🐷🐖 aliyeingia msikitini hapigwi hiviHata kama ni kurogwa sio kiasi hiki wakuu....
Hiki kipondo sio poa kabisa...😔😔😔