uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Imesomeka, tunawachapa hawaMkuu naona Hadi umeishiwa nguvu ya kuanzisha Uzi...
Anyway Leo mtashinda lakini hautakua rahisi na mkizingua mtapata Sare ..[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imesomeka, tunawachapa hawaMkuu naona Hadi umeishiwa nguvu ya kuanzisha Uzi...
Anyway Leo mtashinda lakini hautakua rahisi na mkizingua mtapata Sare ..[emoji23]
Wadanganye!!Mashujaaa tandikeni hao makolo
Benchi la ufundiIvi simba yetu nani hua anawaleta Hawa wachezaji
Imekutokaa ki uwoga sana mkuu..semaa tu thubutuuuuuu.Thubutuu
Try again and mangungu mana wao ndio wahudika wakuuBenchi la ufundi
EtiImekutokaa ki uwoga sana mkuu..semaa tu thubutuuuuuu.
Yupo Adam AdamI wish angetokea shujaa kama yule koplo wa Prisons wa kubadilisha matokeo ya mchezo leo.
Hujui umuhimu wakeYule kibu D
Mnamuweka wa nini kuna chasambi nje?
Kumbe unajua kabisa kazi yenu ni kuchelewesha tu bingwa kutangazwa.Tumewashtukia Azam na Uto.
Mnataka tupoteze mtangaze ubingwa mapema.
Impossible
Dawa zimemkataa sasaYule kibu D
Mnamuweka wa nini kuna chasambi nje?
Siamini katika hili kabsa kunaadhi ya wachezaji hata ukiwa umekatwa kichwa huwezi wasajiliBenchi la ufundi
Kujiangusha hovyo na kutoa maboko ya magoli halafu lawama mnampa Manula?Hujui umuhimu wake