Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
- Thread starter
- #81
Manula hayupo uwanjani leoKujiangusha hovyo na kutoa maboko ya magoli halafu lawama mnampa Manula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manula hayupo uwanjani leoKujiangusha hovyo na kutoa maboko ya magoli halafu lawama mnampa Manula?
MangunguIvi simba yetu nani hua anawaleta Hawa wachezaji
Too lateImekua zaidi ya Mara nyingi Sasa CHAMA
Kugongesha mtambaa swala sijui shida Ni Nini?
Kwenye mguu wangu wa wakushoto mungu aliweka kipaji Cha ajabu..
Ingekuchukua sekunde chache sana mpira ukiwa kwenye mguu wangu wa kushoto kuona kipaji Cha ajabu na pekee..
Nilitabiliwa makubwa na wengi na Mara nyingi watu waliacha shughuli zao kuja kunitazama na kunituza Nina matukio mengi ya kustaajabisha nikiwa nacheza mpira was ushindani...
Kwangu kazi rahisi kuifanya ilikua Ni mpira wa miguu... Mimi nili udharau mpira wa miguu na kuipa nafasi ELIMU...
NB.
Wote tuna jua CHAMA Ni professional player afanyie kazi Hilo Eneo la kugongesha mtambaa panya Mara kwa Mara..
Akifanya training ya umakini na kushoot goal Mara kwa mara Kila siku kwenye training pitch tatizo litaondoka MAANA WAKATI MWINGINE TUTAITAJI NAFASI MOJA HIYO HIYO ATAKAYO IPOTEZA ILI TUSHINDE..
NilNgapi ngapi uko??
Huna umeme?
Cha nani
Dua zako hazisikilizwiLolote baya liwakute hao watani.
Dawa zimemkataaa nani?Dawa zimemkataa sasa
Ndio sisi sisi mkuuHawa wachezaji wetu ndo tunategemea kimataifa au kuna wengine!!
Mbona wanacheza kama hawalipwi mishahara!!!
Wanacheza na mashujaa akili inawaza Al AhlyHawa wachezaji wetu ndo tunategemea kimataifa au kuna wengine!!
Mbona wanacheza kama hawalipwi mishahara!!!
hana umuhimuHujui umuhimu wake