FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Itoshe kusema Simba tuna team mbovu, namna hii Yanga atanyanyua kwapa mpaka tutakapoamua kuwa serious.
 
Tuna taarifa watu wanataka kutuhujumu.

Ila Mashujaa hamtaamini kabisa macho yenu!!
Malalamiko FC

Kalpana akiona hii nimekwisha 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

20240228_125857.jpg.jpg
 
Back
Top Bottom