FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Next season
Hata next season kwa uongozi uliopo tusitarajie chochote. Babra alikuwa Kiongozi sahihi, alisimamia misingi ya kazi na kuvunja vijiwe vyote vya wapigaji. Walimpiga vita mwisho wa siku dada wa watu akaona ya nini? Akabwaga manyanga now yamejazana mapanya yanakula kila kilicho mbele!
 
Kumbe shida sio GSM tena?
 
Hatuna timu mkuu,Simba uongozi ndo shida ikifika wakati wa usajili wanatuletea wachezaji wa buku jero
Wakati Babra anabwaga manyanga nilisema tutamkumbuka sana maana ndo ilikuwa fursa ya wapigaji kukalia kiti. Walimpiga vita dada wa watu kwa kusimamia weledi kazini now wamabaki wenyewe, gari linajiendea tu!
 
Naangalia pia
Muangalie kibu.D hapa anapewa pasi ya penetration anashindwa kuanticipate kukimbia kabla maana anauwezo wa kuzidi mbioa mchezaji alienae inapigwa pasi kazubaa pembeni
Mtu mwenye ubunifu halisi wa kua winga pale anakimbia
Goli la namna hii lilifungwa na karabaka
Luis jose mwnywe pale nahisi angeanticipate ile movement

Saido anashindwa kucontrol mali anakua kama black hole mipira 70%ikienda hairudi

Koublan ni tisa anakaa na mali kama namba 8 wa kina guardiola tena ile ile ya tikitaka

Ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom