FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Hata next season kwa uongozi uliopo tusitarajie chochote. Babra alikuwa Kiongozi sahihi, alisimamia misingi ya kazi na kuvunja vijiwe vyote vya wapigaji. Walimpiga vita mwisho wa siku dada wa watu akaona ya nini? Akabwaga manyanga now yamejazana mapanya yanakula kila kilicho mbele!
Kwahyo shida kumbe sio GSM kudhamini team 8 ila ni viongozi wenu wenyewe..?? Alaaah, sikujua hili
 
Wakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
😅😅Mnatishwa na midevu?, Benchika hamna kocha... Alikuja kipindi ambacho kila mchezaji Alitak kumuonesha anajua apate namba, ila hana mbinu mbadal zaidi ya uwezo wa mchezaji mmoja mmoja... Chama hayupo kwenye siku zake 😅 kwahiyo timu haiwezi kupga matokeo.

Simba ni chama Wala sio Benchikha... Kama chama hayupo form timu inakuwa ya wapiga nyeto 🤣🤣🤣🤣... Maniner zenu.
Utakuta yanasema eti pyepyeeeeee GSM anadhamini timu 8.
 
Mtanihadithia siwezi kuwaangalia akina babacar sar sijui kibu sijui saidoo, freddy utopolo mtupu. Yani papatu papatu tu
 
Back
Top Bottom