FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Game kama hatupigwi hii sijui tu

Siba Guvu Moya[emoji1491]
By MO
 
Simba simba acheni kukumbatia wachezaji wazee humo wanawaloga hao vijana sasa hata uwanjani wanakuwa mazezeta sasa..
 
Sielewi kwanini wachezaji wa Simba haiwezi hata ku possess mpira na hawana stamina kabisa. Pia kwanini washamba? Yaani wanashangaa tu?
 
Kwa kifupi Simba hii huwa tunashinda kwa bahati tu. Hili Bocco daah, ndo Boko kweli
 
JOHN BOKO ndio utajuwa UMUHIMU wa mind sharpness
 
Viongozi wa simba mkimbakisha Bocco msimu ujao mtachagua mbaki nyinyi au yeye
 
Mimi ningekuwa Benchikha nisingekubali kumfundisha Simba hii. Ni kama wachezaji hawana vipaji kabisa.
 
Back
Top Bottom