FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

Iwe ni utani..ila kama una hoji kutoka kichwani basi vichwa vyenu vina walakini..so unataka timu ibweteke au unataka isiende uwanjani?
Hata hawajui wanataka nini yani
 
pigaaaa taboraaaa hawa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mtani jitahidi basi hata sare tu.
 
Kuangalia Hidaya ikicheza ni kupoteza muda, bora kuangalia Mpali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…