FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

1. Ally SALUM.
Alikuwa likizo kwa Muda Mrefu.
Akajaribuwa kidogo akaruhusu goli jepesi sana.
Mpira alikuwa anaweza kuuficha ama. Kuupangulia Nje anapangulia ndani.

Bado Wanasimba tunajiuliza manula anapona lini.
Kila siku ally ANARUHUSU GOLI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…