Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sasa kama akili huna, kwanini nisikusaidie wewe tutusa.?Yaani kuongea aongee Mwamedi halafu wewe mbumbumbu uje ututafsirie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama akili huna, kwanini nisikusaidie wewe tutusa.?Yaani kuongea aongee Mwamedi halafu wewe mbumbumbu uje ututafsirie?
Hakika. Kwa uzoefu wake hapaswi kufanya alichofanya. Tarehe 5 hatuna ujanja. Utopolo watatufunga tu.Ntibanzonkiza hasa .....
Wanapumzika mpaka tarehe 5 wasije kuchoka bureSielewi kwanini Phiri na Baleke hawapewi muda wa kutosha
Why uuteme mpira kuelekea eneo la kuchezea?Sema wewe kakosea nini, goli linafungwa wakati kuna mabeki watano wa Simba na washambuliaji wawili. Halafu eti kipa alaumiwe.
Si anakosea tu, anatenda dhambi kubwa mnoo, ni matusi haswaaKwa hiyo Robertinho anakosea kumuweka benchi huyo jamaa?
Ndoa tamu...nimewaona walikuwa wanamshangilia mume waoUto kama nawaona, wanaomba simba ifungwe lkn wakati huo huo hawataki ihefu ishinde,
Sasa mtuambie mapema kabisa leo mtashangilia timu gani!!!
Kabsa wana kazi special ya kumkaanga churaWanapumzika mpaka tarehe 5 wasije kuchoka bure
Lazma chura aliwe na mchuzi kwa kulumangia na UgaliKabsa wana kazi special ya kumkaanga chura
Wanajua mme kaenda kaziniNdoa tamu...nimewaona walikuwa wanamshangilia mume wao
Hili goli wangefunga Yanga ungesikia mikia wanasema BAHASHA imetembea.
Hapo ndio watapoteana mazima maana gap litakua mlima haswaaLazma chura aliwe na mchuzi kwa kulumangia na Ugali
Achana na mawazo ya kitoto , huo ni uoga wa kitoto kabisa kabisa.Tarehe 5 hatuna ujanja. Utopolo watatufunga tu.
Weka msimam
Tarehe 5 ndo utajua umecheza michezo mingapi sawaHivi mnaongoza ligi au mnaongoza idadi ya mechi mlizocheza
Sasa tarehe 5 mtatukoma,tutawapiga 5 kama tarehe yenyewe nawazee wenu akina Saido!