FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

1. Ally SALUM.
Alikuwa likizo kwa Muda Mrefu.
Akajaribuwa kidogo akaruhusu goli jepesi sana.
Mpira alikuwa anaweza kuuficha ama. Kuupangulia Nje anapangulia ndani.

Bado Wanasimba tunajiuliza manula anapona lini.
Kila siku ally ANARUHUSU GOLI
 
Sasa tarehe 5 mtatukoma,tutawapiga 5 kama tarehe yenyewe nawazee wenu akina Saido!
images (2) (1) (1).jpeg


Umenikumbuasha mbali sana mkuu ama kweli Utopolo viazi
 
Back
Top Bottom