Yap.Hivyo ukawa unasikilizia. π€£π€£
Tutajua march 8Simba Bingwa
Ndio offside nimeiona mimi.. kwani macho yangu yanaushirika na yako hadi tuone pamoja?!Uwe mtu mzima halafu una unazi wa hovyo namna ile? Hiyo offside uliiona wewe tu?
Wataka ninyima niniMtani nakusalimia.
Wasipo sajili kipa na back wa kulia, wataendelea kuishia hapo hapo wanapoishiaAzam ni hopeless timu, hovyooo.
Refa asione, mshika kibendera asione, na camera za Azam zisione, uje uone wewe? Acha hizo.Ndio offside nimeiona mimi.. kwani macho yangu yanaushirika na yako hadi tuone pamoja?!
Kama umeona offside wewe ni shabiki maandaziNdio offside nimeiona mimi.. kwani macho yangu yanaushirika na yako hadi tuone pamoja?!
Boss lady tulia mnyama amle AzamHatimaye leo Azam kawadindishia madunduka. Twende kazi ππππ
Dada ephen_ ni yanga damu msimchokoze shauri zetu mtafungwaNipo hapa jf nawasubiri.
March 8 ndo mwisho wa ligi?Tutajua march 8