Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani nakusalimia.Leo nalala nazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani nakusalimia.Leo nalala nazo
Kwasababu una ushabiki wa kijinga. Hata kama huipendi Simba si kuongea mashudu muda wote dhiki yake. Offside uliiona wewe tu?Aisee yametoka wapi yote hayo?!
Vifaa vya kupigia vipi vingi tukupige na kifaa kipi labda!?Hii mechi Simba anakufa! Tofauti na hapo nipigeni
Daah!Na bado, hadi mseme iweje mumshangilie aliyewabonda
😅Kwa kamdomo hapo hatuwezi kuchekana kwa kweli. Kwa mdomo Simba na Yanga wote dugu mojaTatizo mna kamdomo ndiko kanako waponza
Azam washalegea, kipindi cha pili namalizia kazi
Hivyo ukawa unasikilizia. 🤣🤣Nilikuwepo mapema mbona sema sikuwa na kiherehere.
Tulia kwanza, nimebana kendeUlijifungia wewe!
Jifunze kuwa adabu unaweza unamtukana. Baba yako kiumriKwasababu una ushabiki wa kijinga. Hata kama huipendi Simba si kuongea mashudu muda wote dhiki yake. Offside uliiona wewe tu?
Uko sahihi Kiongozi. Diarra lazima akufokee beki ukileta ujinga. Musa Camara awe mkali pia.Msimu huu goli kwa aslimia 90 kafungwa kwa uzembe wa kijinga wa mabeki na DM wake...anatakiwa awe ndava ana kera hamuoni mwenzie Diarra acheki na nyani.
Yaani sio wale walioanza kwa mbwembwe.Azam washalegea, kipindi cha pili namalizia kazi
Omba ban..Hii mechi Simba anakufa! Tofauti na hapo nipigeni
Azam hayako serious!Kwa jinsi beki ya simba inavyocheza naona simba akipigwa 4
Uwe mtu mzima halafu una unazi wa hovyo namna ile? Hiyo offside uliiona wewe tu?Jifunze kuwa adabu unaweza unamtukana. Baba yako kiumri