FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Pamoja na kwamba sifagilii kuhonga, ila mechi ya leo wanangu ikibidi tuhonge tu, huu msimu wetu huu. Kama tumeamua kufanya ubaya ubwela, wala tusiwe na soni usoni. Ikiwezekana Azam watupe hata goli 6, mbona fuleshi tu.

Tuna maadui wengi sana, tukipata rafiki mmoja tushikamane naye.
Hapana bwana hawa tunawapiga goli 6 bila kuhonga hata senti
 
Back
Top Bottom