Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Huyu kipa kila mpira anaojaribu kuucheza na mguu unatinga kwenye nyavu, kwani simba hakuna kocha wa magolikipa? Eneo la goal keeping simba makipa wanafanya makosa yanayojirudia yanayoigharimu timu mara kwa mara, timu inatakiwa kushughulikia jambo hilo bila hivyo ubingwa utapeperuka tena
Hiyo ni siku nyingine kabisa.Kwa kweeeli. π€£π€£π€£
Kama kufungwa tu tutafunga tarehe 08 Mtani. π€£π€£
Uongo huo.Tofauti ya wachezaji wa Simba Sc na yanga ni kwamba yanga wakipoteza mechi wanatafuta walipokosea na mechi zinazo fuata wanakuja wakiwa wamebadilika lakini wa wachezaji wa simba huwa hawabadiliki hata baada ya kupoteza mchezo ulio pita.
Naona leo uko na furaha mnoo, kashatimiza adhma yenu.Tulia wewe!
Arajiga ni mwamuzi wa Kimataifa na anayeheshimika kwa kuchezesha vizuri na pia kwa kufuata sheria 17 za soka. Hakuna bahasha pale.
Ngoja nisubirie nione kama itawezekana.Hiyo ni siku nyingine kabisa.
Siku hiyo hatucheki na Kima, Nitakupasua tu wala hakuna mjadala
Wewe subiri tucheze kiporo chetu...halafu kwamba nyie ni malaika hamtapoteza ee?? Najua hamtapoteza kwny tawi lenu mwanza kule ijumaa...then?
SawaMkicheza kiporo hata mkishinda bado tunawazidi point 1.....Kama mmeshindwa kumfunga Azam basi huko mbele mtapoteza sana ,sisi mechi ikianza yaani tunaanza na 5 mkononi ,opponent anapambana ili asitoke bila goli.
Simba SC VS Azam FC
| NBC Premier League
| Benjamin Mkapa
| 24 Februari, 2025
| Saa 1:00 Usiku.