ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Bila shaka wewe ni mu Israel.Hii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!
Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
π€£π€£π€£Ndio walikuwa wanatupangia kikosi cha timu ya Taifa, Bacca au Job wampishe Hamza, nyie hii dunia imejaa vichaa. ππππΌππΌ
Nani OKW BOBAN SUNZU ?Yupo wapi shabiki Lia Lia wa Simba SC π€£ π Mshana Jr
ππ€£ππ
Refa alivyoona simba anafungwa akakimbilia kumaliza mpiraTutapewa penalty mida si mrefu. Pia tutaongezewa Dakika 9 hapa. Bahasha ishafika mezani kwa Karia.
Umepigaje hapoKichapo kinaendelea pale pale na round mtapiga kelele sanaa
Umepigaje hapo?Simba tunaokota tu points... Ngoja tukae kwanza kileleni na kombe tuliweke kwapani...
Unasema?Hakuna timu ya kuifunga Simba kwenye ligi msimu huu.
Labda itokee red card etc.
Dua la kuku.Siamini yaani niliacha ubao 2-0 narudi nakuta Coastal wamefanya comeback ya ajabu. Shida ni nini wanasimba?
Pia tuzidi kuomba mechi ijayo uto nao watoe droo au wafungwe kabisa
Bila shaka wewe ni mu Israel.