FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

We ulitaka afungwe Nani come back from 2_0 to 2_2 mbona utoporo alishawai shangilia kama hii au ukumbuki? Tukukumbushe
Walishangilia kwenye mechi ya kirafiki? Walishangilia kwenye mechi inayokuongeza point. Sasa sare mliyopata inaongeza point kwenye mashindano yapi?
 
Matokeo yakiwa furahisha hamuandiki mashudu kama haya na yakiwakwaza mnaleta pumba kibao
 
Basi tulia huu ushauri wako wapatie viongozi wako wa utopolo waachane kucheza mechi za kirafiki na mbuni fc
 
Kweli mkuu umeongea
Huyu hottara ni matatizo yani kama umemcheki alichokifanya dakika ya 79 kiukweli anakatisha tamaa sana

Alikuwa anatufungisha bao la 3

Sijajua labda apewe muda zaidi ila bado nawasi wasi naye sana
 
Mkuu umebeza watu kushangilia Sare nimekuuliza je utopolo ajawai shangilia Sare kutoka 2_0 mpaka 2_2 lazima ushangilie
Utopolo aliwai shangilia Sare kama hii 2_0 to 2_2 umesahau? Na je ukumbuki watu walishangilia Sare ilitakiwa ujibu cha ajabu umekuja na mada tena tofauti
 
Vilabu vya maana, vilikuwa vilabu gani? Kwa majina
 
acha kukalili.
 
Sasa waje na ishu ya tumecheza na boda boda au waje na msimamo wa ligi au kikosi cha ngapi mkuje mseme maripota wetu tumekaa hapa
Sasa hao CSKA Moscow wame draw na anaeshika nafasi ya pili NBC premier League wangecheza na bingwa si wangeuwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…