hivyo leo mnacheza ki bahasha fcNamungo hakikisheni matamanio ya Uto hayawi
Amin inshallah ikawe kheriTutashinda Inshallah
Makolo leo watajipigia kama sio 5 basi 4.Namungo FC timu ya mwanachama wa SSC Kasim Majaliwa,na inayonolewa na mwanachama wa simba JUMA RAMADHAN MGUNDA,tusitarajie maajabu ktk mechi hii kwani anajulikana atakayeshinda. kila lenye kheri NFC.
Nasi hatuta kuangusha.Namungo msiniangushe
vyovyote vile tunataka pointi 3 na magoli ya kutoshaSisi Namungo hata tukipata tu sare kutoka kwa Kaka yetu, inatutosha. Ila kwa bahati mbaya Mgunda atahakikisha hata hiyo sare nayo haipatikani.
Nimeipenda hii kpnzMwenyezi Mungu akawe ngao yenu Simba👊