OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu BM3 akianza kupunguza hata wenzie wanabaki kutazama kama sisi,badala ya kusogea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana,kocha kaona mapema kuna upepo umekata pale kati.74
Mzamiru in..
Ajib in..
Dilunga out..
Kanoute out...
Acha aendelee kuumwa,tena ikiwezekana akalazwe kabisa.Kama Mugalu hajapona hadi leo,
Dirisha dogo aachwe tu
Atafute striker mwingine
Mugalu, Kagere na Bocco hawana hadhi ya kuwa washambuliaji wa Simba kwasasa....Kama Mugalu hajapona hadi leo,
Dirisha dogo aachwe tu
Atafute striker mwingine
Angalau Kagere kidogo ila hao wengine sio hadhi ya Simba.Mugalu, Kagere na Bocco hawana hadhi ya kuwa washambuliaji wa Simba kwasasa....