ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Hawa wakila hata nne zinatoshaHawa jamaa inatakiwa tushinde goli nyingi...vinginevyo game ya marudiano itakua ngumu..soka la africa fitna sana! Biashara asubuhi,wasirudie makosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wakila hata nne zinatoshaHawa jamaa inatakiwa tushinde goli nyingi...vinginevyo game ya marudiano itakua ngumu..soka la africa fitna sana! Biashara asubuhi,wasirudie makosa.
Jamaa anakinukisha siyo poaKANOUTE anapiga kazi ya kiume sana jezi haitamaniki.
Hili nalo tatizo aisee kwa simbaSimba rizikeni tuu ila mjue kipindi cha pili bado naona mnajifanya mumemaliza game
TrueHawa jamaa inatakiwa tushinde goli nyingi...vinginevyo game ya marudiano itakua ngumu..soka la africa fitna sana! Biashara asubuhi,wasirudie makosa.
Kama Team yako inashiriki Mashindano yoyote ya kimataifa basi endelea kubishana, ila kama team yako ni wa hapa hapa kwa heri.
Nakupa wewe chura na vyura wenzako wanairuka ruka uwanjaniUnampa nani ushauri wewe chura.....
Simba rizikeni tuu ila mjue kipindi cha pili bado naona mnajifanya mumemaliza game
Cha msingi tushinde hii mechi bila kuruhusu Goli mechi ya marudiano tutajuana nao hukohuko kwao.Hawa jamaa inatakiwa tushinde goli nyingi...vinginevyo game ya marudiano itakua ngumu..soka la africa fitna sana! Biashara asubuhi,wasirudie makosa.
Mungu aibariki Mbeya KwanzaMungu wabariki Wazambia
Acha wamuundie zengwe aisee.Kwa hiki anachokifanya wakili msomi ... Utopwinho walikuwa na haki ya kulia lia na kwenda CAS
Yanga Mnacheza mechi gani za kimataifa ndg. Utopolo?Bado game mbichi, full time lazma mtu akalishwe. Makolo amfunge nani? Thubutuuuu
Hauwezi kujua labda ni utunzaji vizuri miundo mbinu ya kunyonya maji baada ya kukabidhiwa angalia hata mwendokasi tulivyoharibuPitch ya uwanja huu wachina walitupiga za uso, duuuuh yaani tunaita uwanja wa kisasa kumbe fake kabisa[emoji22][emoji22]