Zimeshafika.Kwani caf wanachezesha malaika ambao hawahitaji fedha!!?..hapo t ahitaji goli 3 ili yasitokee ya makirikiri
Anakula hela za bureAcha aendelee kuumwa,tena ikiwezekana akalazwe kabisa.
Pesa sio shida,Simba pesa ipo.Anakula hela za bure
Toka dodoma jiji match ya pili hadi leo?
Uto wachawi , watamfunga miguu morisonTarehe 11 ije haraka sana
Kuna wachezaji msimu unakata wanauguza majereha. Tuwape heshima.Anakula hela za bure
Toka dodoma jiji match ya pili hadi leo?
Mkiuza huyu mwehu mimi najitoa Simba
Morison ni nyoko.
Kuna watu wanatamani isifike hiyo tarehe.Tarehe 11 ije haraka sana
Kweli kabisa but simba inahitaji striker mpya wa kigeni.Kuna wachezaji msimu unakata wanauguza majereha. Tuwape heshima.
Ni binadamu wale.
Leooo kuna watu watalala na viatu bado moja tukamilishe mipango yetu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2026305