mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tusifanye makosa ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukumbuke pia ligi ya Zambia sio sawa na ligi yetu ya kimagumashi weka akiba ya manenoSimba anatafuna mtu mzima mzima leo!!
Nadhan unajisahaulisha kuwa Simba ni linyama kubwa sana sio hapa tu Tanzania bali Africa nzima linaogopwa!!Ukumbuke pia ligi ya zambia sio sawa na ligi yetu ya kimagumashi weka akiba ya maneno
Nguvumoja kila la kheri mnyamaNi Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa...
Uyu wa sasa ni simba wa kibisa hana meno zaidi ya kutegemea chupli chupli ili ashinde mechi zakeNadhan unajisahaulisha kuwa Simba ni linyama kubwa sana sio hapa tu Tanzania bali Africa nzima linaogopwa!!
kwenye game kubwa kama hii hata mimi simwamini sanaNikimfikiria Wawa, natetemeka mwenyewe! Sina shaka atakuwa amejirekebisha!
Huu uzi umeukimbilia kuwahi kuufungua ili wasije wakaku-time akina BOBAN SUNZU?. Hiyo Gioni umeirudia rudia inamaanisha nini?. Au ndio kiswahili kipya huko mikiani?
Time will tell., Turudi tena kwenye uzi huu baada ya dk90Uyu wa sasa ni simba wa kibisa hana meno zaidi ya kutegemea chupli chupli ili ashinde mechi zake
Huyu Wawa anaweza kutuharibia sherehe wanaMsimbazi.....