Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Wale mashabiki wa Yanga watatusamehe leo hatuna eneo kwa ajiri yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia hamna budi kushinda goli nyingii . Hao red arrows ni wabovuuu... Nimewafuatilia ktk ligi yao
Dar kuna mvua inanyesha tangu asubuhi, uwanja una maji mbwambwambwaHuu uwanja vipi...
Butua butua zote... Hamna tofautiLeague yetu na yao ipi iko fire?
Hawajazoea,Yanga ndio wataalam wa kutumia viwanja vyenye changamoto.Simba naona kama hawafanyagi mazoezi ya kwenye mvua uwanja wa Taifa.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app