FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

Mikia hamna budi kushinda goli nyingii . Hao red arrows ni wabovuuu... Nimewafuatilia ktk ligi yao
 
Tuungane wenye live video highlights hadi saa 12 kasoro

Mechi imeanza

 
Uwanja umejaa maji, pasi za chini ni shida

 
Maji ni changamoto kubwa kweny pasi

 
Kijana wa red arrows anakula kiatu

 
Back
Top Bottom