OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hivi Simba walitolewaje na wale mafala. inauma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utelezi wapi wakati HD kakatwaPenatiiii...
Ila refa hapa angeacha tuuuu.... Kutokana na utelezi...
Yule ni wakuonea huruma....Leo na baridi hili kuna watu watalala mapema na roho zinawauma mamaeee zao hasa yule zeruuuuu zeruuuuuu
Usitukumbushe mkuuHivi Simba walitolewaje na wale mafala. inauma sana
wawe wanampa Bwalya,shoto ni ngumu kukosaDuuuuu tumekosa lakn sio mbaya
inauma,asitukumbushe kabisaUsitukumbushe mkuu
Huo mwiko huko nyuma utoe...Mabata yapo kwenye dimbwi lazima yawe na nguvu mana ndiyo sehemu pekee yanapoinjoy!