FT | Simba SC 3-0 TMA Stars | March 11, 2025 | 04:00p.m | KMC Complex

Kuangalia mechi za Simba ni Umama,mwanaume lijali huweziii poteza dk 100 unakodolea watuuzi makolo wenge akili 2.
 
Kuna watu watakupinga. Ila ukweli ndiyo huu. Sababu ya makomandoo ilikuwa ni kisingizio tu cha kuiepusha timu kudhalilika.
Utopolo ndio hawakuwa wanaotaka mechi ndio maana walipeleka makomandoo wakijua Simba watagoma,kwa nini mlipeleka makomandoo?
 
Hii game naiangalia,
Mimi kama shabiki wa Simba, tulistahili kabisa kukimbia tarehe 8.
Tungepigwa kama ngoma.
 
Kinachoonekana humu uwanjani aisee ashukuriwe waamuzi kwa kuisitiri Simba kwa offside ya mchongo na faulo faulo la sivyo ya Azam vs Mbeya city yangejirudia hapa
 
Kinachoonekana humu uwanjani aisee ashukuriwe waamuzi kwa kuisitiri Simba kwa offside ya mchongo na faulo faulo la sivyo ya Azam vs Mbeya city yangejirudia hapa
Tatu Malogo ni binti yetu kipenzi. Yaani hata akipewa kuchezesha mechi kati ya Simba na hii Liverpool ya moto; bado Simba atashinda tu! Tena kwa goli zaidi ya 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ