FT | Simba SC 3-0 TMA Stars | March 11, 2025 | 04:00p.m | KMC Complex

FT | Simba SC 3-0 TMA Stars | March 11, 2025 | 04:00p.m | KMC Complex

Kuangalia mechi za Simba ni Umama,mwanaume lijali huweziii poteza dk 100 unakodolea watuuzi makolo wenge akili 2.
 
Kuna watu watakupinga. Ila ukweli ndiyo huu. Sababu ya makomandoo ilikuwa ni kisingizio tu cha kuiepusha timu kudhalilika.
Utopolo ndio hawakuwa wanaotaka mechi ndio maana walipeleka makomandoo wakijua Simba watagoma,kwa nini mlipeleka makomandoo?
 
Eh.. Kwani mlileta makomandoo koko kama juzi?
1741702041972.png
 
Leo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars.
View attachment 3266770

View attachment 3266776

Updates...

Mechi imeaanza
  • Dakika ya 14 milango bando ni migumu
  • Dakika ya 16 Valentino Nouma anaitanguliza Simba kwa mpira wa Free Kick (Simba 1 - 0 TMA)
  • Dakika ya 19 TMA Wanajifunga Sixtus Sabilo OG (Simba 2 - 0 TMA)
  • Dakika ya 24 kipa wa TMA anapangua shuti kali na la moto kutoa kwa Debrah Fernandez Mavambo
  • Half Time Simba 2 - 0 TMA
  • Kipindi cha pili kimeanza
Hii game naiangalia,
Mimi kama shabiki wa Simba, tulistahili kabisa kukimbia tarehe 8.
Tungepigwa kama ngoma.
 
Kinachoonekana humu uwanjani aisee ashukuriwe waamuzi kwa kuisitiri Simba kwa offside ya mchongo na faulo faulo la sivyo ya Azam vs Mbeya city yangejirudia hapa
 
Kinachoonekana humu uwanjani aisee ashukuriwe waamuzi kwa kuisitiri Simba kwa offside ya mchongo na faulo faulo la sivyo ya Azam vs Mbeya city yangejirudia hapa
Tatu Malogo ni binti yetu kipenzi. Yaani hata akipewa kuchezesha mechi kati ya Simba na hii Liverpool ya moto; bado Simba atashinda tu! Tena kwa goli zaidi ya 2!
 
Back
Top Bottom