Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Kuangalia mechi za Simba ni Umama,mwanaume lijali huweziii poteza dk 100 unakodolea watuuzi makolo wenge akili 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka achezeshe nani?Naona tunaongoza goli 2-0 na mwamuzi wa mchezo siyo Ahmed Arajiga tena! Ni Tatu Malogo!
Utopolo ndio hawakuwa wanaotaka mechi ndio maana walipeleka makomandoo wakijua Simba watagoma,kwa nini mlipeleka makomandoo?Kuna watu watakupinga. Ila ukweli ndiyo huu. Sababu ya makomandoo ilikuwa ni kisingizio tu cha kuiepusha timu kudhalilika.
Na kwa kuwa wewe ni team umama unafatilia hiyo mechi kupitia thread hii 😂😂Kuangalia mechi za Simba ni Umama,
Na kwa kuwa wewe ni team umama unafatilia hiyo mechi kupitia thread hii 😂😂
Eh.. Kwani mlileta makomandoo koko kama juzi?
Hii game naiangalia,Leo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars.
View attachment 3266770
View attachment 3266776
Updates...
Mechi imeaanza
- Dakika ya 14 milango bando ni migumu
- Dakika ya 16 Valentino Nouma anaitanguliza Simba kwa mpira wa Free Kick (Simba 1 - 0 TMA)
- Dakika ya 19 TMA Wanajifunga Sixtus Sabilo OG (Simba 2 - 0 TMA)
- Dakika ya 24 kipa wa TMA anapangua shuti kali na la moto kutoa kwa Debrah Fernandez Mavambo
- Half Time Simba 2 - 0 TMA
- Kipindi cha pili kimeanza
Kwani umeona jina la Mohammed Hussein na Kibu?Nimeangalia kikosi kinachoanza na wale wa akiba sijaona jina la camara na che Malone kuna kitu nimeamini
Tulikimbia tukiwa na sababu kabisaNimeangalia kikosi kinachoanza na wale wa akiba sijaona jina la camara na che Malone kuna kitu nimeamini
Naunga mkono hoja 🤣 😁 😂 😂Hii game naiangalia,
Mimi kama shabiki wa Simba, tulistahili kabisa kukimbia tarehe 8.
Tungepigwa kama ngoma.
Azam maxOnline inaoneshwa wapi?
Umeona tunavyocheza?Naunga mkono hoja 🤣 😁 😂 😂
Ni Tatu Malogo tu na yule Smart aliyechezesha mechi dhidi ya Namungo. Wakichezesha hawa waamuzi wetu wawili, ushindi ni 💯%Ulitaka achezeshe nani?
Wauza madafu wa Ikulu mna nongwa Sana.Naunga mkono hoja 🤣 😁 😂 😂
Mnafurahi wenyewe kukimbia wanetu kwa kikosi hiki HT ulikuwa unakula 4 😀 na kuendeleaWauza madafu wa Ikulu mna nongwa Sana.
😂😀😄
Tatu Malogo ni binti yetu kipenzi. Yaani hata akipewa kuchezesha mechi kati ya Simba na hii Liverpool ya moto; bado Simba atashinda tu! Tena kwa goli zaidi ya 2!Kinachoonekana humu uwanjani aisee ashukuriwe waamuzi kwa kuisitiri Simba kwa offside ya mchongo na faulo faulo la sivyo ya Azam vs Mbeya city yangejirudia hapa