Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Ateba kapiga ulanzi kwanza kabla ya game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba anakula mbatataAteba anatokea mbeya nini
Duh!Limutale hamna kitu mechi ilopita aliboronga vibaya na leo kaanzishwa kocha hatuna hapa seng3 tu hili
Mapema mno, anaweza akatunyamazisha manenoLimutale hamna kitu mechi ilopita aliboronga vibaya na leo kaanzishwa kocha hatuna hapa seng3 tu hili
Naunga mkono hoja 🤣 😁kwamba anakula mbatata
😂😂Hii Simba hata Mheshimiwa Mwigulu Nchema anapata namba vizuri kabisa.
Ipo siku mtapata watu sahihi mtani. 😃Daaah huyu Mutale inabidi arudi kijijini akatemewe mate na wazee
Hizo nusu nusu alizipata sana kule TripoliMabululu nusu apate samaki nchanga
Umeongea kinyonge sana mtani.Mapema mno, anaweza akatunyamazisha maneno