Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
kwamba anakula mbatataAteba anatokea mbeya nini
Duh!Limutale hamna kitu mechi ilopita aliboronga vibaya na leo kaanzishwa kocha hatuna hapa seng3 tu hili
Mapema mno, anaweza akatunyamazisha manenoLimutale hamna kitu mechi ilopita aliboronga vibaya na leo kaanzishwa kocha hatuna hapa seng3 tu hili
Naunga mkono hoja π€£ πkwamba anakula mbatata
ππHii Simba hata Mheshimiwa Mwigulu Nchema anapata namba vizuri kabisa.
Ipo siku mtapata watu sahihi mtani. πDaaah huyu Mutale inabidi arudi kijijini akatemewe mate na wazee
Hizo nusu nusu alizipata sana kule TripoliMabululu nusu apate samaki nchanga
Umeongea kinyonge sana mtani.Mapema mno, anaweza akatunyamazisha maneno