Mkuu mkeka wangu bado unahema vizuriπ€£π€£π€£Saangapi inaanza nivae kezi mapema za a a tripoli
Hoja 0 tengenezeni timu acheni janja janja wanetukama alilompigia Diara
Si jana walisema leo watatuonesha pira π€£π€£ kumbe pira lenyewe ndo hili wanaanza kulaumiana hukuMbona madunduka hawajiamini na timu yao? Si waje kusheherekea. Wht mnajificha jificha? Waarabu wana roho za paka, watashinda tu π₯
Wazingatie mnoModerator zingatia hili
Mambo yanazidi kuwa magumuπ€£π€£Tunahitaji magoli 2
πππMitano teeeena kwa Murtaza MANGUNGU