zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
nyau chupu chupuMatokeoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyau chupu chupuMatokeoo
Sasa hapo aliyechomoa ni nani? Kweli umevurugwa aiseeMamamae chomoeni na hapo
Umepaniki ww gasho...naona kinapwitapwita sasa hvKocho baba na mama yako
Goli au magoli ya ugenini ni applicable kama tu aggregate goals zimelingana. Unless hazina matumizi.Ikitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Naona mbeba hirizi wa timu anawaokoa hapo.Unasema??
sema kwa mahaba ya huyu refa red inaweza patikana mechi imemshindaHapa tunawatafutia red
Moderator fanyeni kazi yenuKocho baba na mama yako
Sasa hapo ni lazima Simba washinde hakuna tena biashara ya matuta, droo yoyote leo hapo Simba out.Nimesema mnapata goli sasahivi
Shida no moja walipania sana😂😂😂wageni hongereni twende sambambaMatch Day.
View attachment 3102741
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
View attachment 3103260
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1