FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

ukweli usemwe mechi haina la maana hakuna timu imepiga hata pasi 15 mfululizo wanabutua tu

hakuna timu imeonesha goli la mipango yote n papatu papatu goliii
 
Mwarabu kajaaa kwenye geto la p diddy
Nipo pamoja na waarabuuuu kuna kipindi cha pili wasiwazeee waneza pindua mezaaa na kuongezaaaaπŸ•ΊπŸ€πŸ’šπŸ€πŸ’šπŸ€πŸ’šπŸ€πŸ’šπŸ€πŸ€πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š!

Kila la kheri kwaoooooo

Cc Smart911
 
Mpaka mpira unaenda mapumziko Simba hawajacheza kabumbu lolote la maana alakini wanapenda mapumziko wakiwa kifua mbele Kwa magoli 2-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…