Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wapo mashimoni kwa Sasa ila Waarabu wakichomoa watakuja Mbio kuvamia Uzi . .Wako wapi makuli wa GSM maana walijaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mashimoni kwa Sasa ila Waarabu wakichomoa watakuja Mbio kuvamia Uzi . .Wako wapi makuli wa GSM maana walijaa
Baada ya kuongoza🤣🤣
Bado mpo nayeSisi na Mabululu mpaka mwisho
Kwenye CBE?mkuu huna timu hadi sasa ungekuwa huku kwa mabingwa ungeaibika vibaya mnoooo
Nipo na mtanzania mwenzangu hapa kwangu anashabikia ahly tripol ya libya.Match Day.
View attachment 3102741
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
View attachment 3103260
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
una timu ya kumfunga CBE ama hii ya magoli ya mazingaombweKwenye CBE?
Mali safiii hii
Mara hii umeshaanza kuwakataa. Hata bwana wako mabululu ni mpuuzi!Waarabu gani wapuuzi hawa?
Shenzi typ.
Wamepata advantage kubwa sana kutangulia goli moja tena away, wachezaji wenye akili na kocha mwenye akili ni kuhakikisha mipira haikai ndani 18 yako ili kipindi cha kwanza kiishe kwa kuongoza. Ila upuuzi wao umewaponza wanastahili kutolewa kabisa wakajifunze kukomaa kiakiliMgense huyu mchezaji wewe crucial game unaleta mbwembwe kwenye eneo hatari
Lina pasi ngapi boss?una timu ya kumfunga CBE ama hii ya magoli ya mazingaombwe
goli halina hata pasi tano